- fidodido
- [Swahili Word] fidodido[Swahili Plural] fidodido[English Word] chick (good looking young woman)[English Plural] chicks[Part of Speech] noun[Class] 9/10an[Derived Word] ?[Swahili Definition] Neno hili siyo zuri sana. Ni kwa ajili ya kumzungumzia mwanamke (au msichana) anayeonekana barabarani na kwamba mzungumzaji anafikiri kwamba anampenda[Swahili Example] We, cheki yule fidodido![English Example] Hey, check out that chick over there![Note] Slang, street chat among young men------------------------------------------------------------
Swahili-english dictionary. 2013.